Haki Za Mke Kwa Mume. Naaswir Bachu 1 of 8 (Alhidaaya.com)

Haki Za Mke Kwa Mume. Naaswir Bachu 1 of 8 (Alhidaaya.com)

Mtume صلى الله عليه وسلم aliusia kuwa wanawake watendewe mema kama alivyosema
{Mbora wenu ni yule Aliye mbora kwa familia yake na mimi ni mbora kabisa kwa familia yangu} At-Tabarani

– Kauli hii ya Allaah سبحانه وتعالى imekamilishwa na kauli ya Mtume صلى الله عليه وسلم
(Nakuusieni kuwafanyia wema wanawake ) Al Bukhari na Muslim

– {Na kaeni nao kwa wema} An-Nisaa 4:19

Sheikh Naaswir Bachu kutoka tovuti ya Alhidaaya.com

15 comments

  1. Asalam alaykum.kwani kuna haki ngapi(idadi)ya haki za mke kwa mme wake?by irakoze aisha says:

    Wanaume wawo hawana haki kwa wake zao?

  2. Asalam aleykum, mbona mawahidha ya shekhe Naaswir Bachu hayapo kwenye tovuti hii ya alihidaya wakati mwanzo yalikuwepo

Leave a reply to Mohammed Cancel reply